Sunday, December 11, 2011
UJUE MKAKATI MPYA WALIONAO MAKAFIRI !
Assalaam alykum wa rahmatullah wa barakatuh. Ndugu aktika imani, kumbuka kuwa makafiri hawalali isipokuwa wanahakikisha wamepanga mbinu mpya ya kumpoteza japo Muumini (Muislam) mmoja. Hii inaendelea kuthibiti pale wanapokuja na mbinu mpya ya kuwateka na kuwapoteza dada zetu ambao mashaallah Mwenyezi Mungu kawajaalia kujistiri na kufuata njia iliyo swahihi. Makfiri hao wameamua kutukmia njia ya kuvaa kanzu na/au kofia na kujifanya wao ni waislam hivyo kuwaendea daad zetu kwa ajili ya kuwapotosha. Mkakati huu umeshadhihirika katika Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) baada ya watu kumkuta kafiri akisema kuwa atatumia njia hiyo ya mavazi mpaka awapate kina dada. Kwa kuwa makafiri jambo lao ni moja hatuna budi kuchukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kuwausia dada zetu kujiweka katika hali ya kuwaepuka madhwalimu hawa. Wabillah Tawfiiq!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment